Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

If you did not know! You may connect to that Service! at any time of the day by using Tshs.500 and get ..GB of surfing the internet for that particular day! It currently works during the day &...
0 Reactions
2 Replies
643 Views
Assalaam alaikum na amani ya Bwana iwe nanyi nyote. Niwashukuru saaana wale wote waliochangia thread yangu kabla ya hii iliyokuwa ikihoji kutoonekana kwa website ya ofisi yangu. Ninawashukuru kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naombeni nipewe us#auri nataka kwenda dukani next week nikatafute antvirus au smart securty ambayo itanipa uakika wa data pamoja na pc . nimekuwa nikitumia za kudownload ila bado naona. pc...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
kwa sasa natumia huawei ascend Y300, kwa kweli ni simu nzuri sana, na kwa upande wa camera, internet iko vizuri sana, bt nataka kumove toka hapo kwenda simu nyingine, bt hav no idea simu ipi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Masa sita yamepita tangu king'amuzi cha Star Times kipoteze mtandao hapa nilipo Dar. Ni mawingu megiau??
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Wakuu nimepanga kuspend 200,000 hadi 250,000 kwenye kununua smartphone niachane na hii Nokia Asha 200! Sijawahi kumiliki au kutumia smartphone so sina ufahamu mkubwa kwenye hizi simu! Naombeni...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Habari wakuu, hapa nna shida, ni kwamba nlipata sms kutoka voda wa kuchagua muito kwa mpigaji, wakatoa menu yaani kujiunga na kujitoa, sasa nikajiunga nkachagua wimbo, sasa nkataka kusitisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada wa haraka even link ya kudownload kis 2014 keys
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayejua kuhusiana na inverter...hivi kama haiwaki ile feni...ina Maana Itakuwa imeharibika?..lakini umeme unawaka kama kawaida,,Kompyuta natumia kama kawaida....sasa nataka kujua kama...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu..? mwenzenu nimewasha receiver ya ungo dah! haikuwaka kamwe nami pia sijui tatizo naogopa kuliwa nikipeleka kwa fundi si unajua tena wakijua hujui tatizo hawa mafundi so...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Habari wakuu, Nataka kutengeneza bootable flash disk, OS ninayotaka kuifanya bootable ni Debian (Linux) na OS ninayotumia kwa sasa ni XP. Kuna tool moja nimeipata ya kuifanya flash disk iwe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimefunga dishi la zuku lakini sipati chaneli za kenya uganda wala tz.napata jumla chanel 24 zilipo kwenye list ya zuku classic ni 4 tu. Nimefanya setting zifuatazo: sat-ses 5, lnb freq uvsal...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yenyi wataalam wa simu naombeni kujua simu ya "nokia x2 01"ni Android,java au symbian.msaada wakuu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? jamani mwenzenu leo nimevunja mfuniko wa nyuma wa battery kwenye simu tajwa. Je naweza pata wapi? Au kama kuna mtu anao. Simu rangi yake ni nyeupe.
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Naweza kupata samsung s4 used kwa tsh 300,000-350,000
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Anaejua naweza kupata wapi kioo cha iphone 5 original na bei tafadhal naomba msaada
0 Reactions
1 Replies
743 Views
Wakuu naombeni mnisaidie samsung yangu nimeifanyia factory reset yamekuja maandishi ya kichina.niende wapi ili nibadilishe lugha iwe kiingereza.hapa nilipo nimechacha akili msaada tafadhari.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
bluestack, youWave android zinakataa kurun! natumia HP pavilion dv6, ram 6gb, processor 3ghz msaada plzz
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jaman naomba kujuzwa kuhusu hawa jamaa wanaitwa telexfree how do they operate and are they real...au ndo mambo ya deci...naomba kuwasilisha
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanateknolojia mwenye kutumia simu hii anipe darasa kidogo apa. Nawezaje kufree internal memory ya simu yangu? Nina applications chache lakini inaonekana internal memory imejaa nimeuninstall...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom