Wanateknolojia mwenye kutumia simu hii anipe darasa kidogo apa. Nawezaje kufree internal memory ya simu yangu? Nina applications chache lakini inaonekana internal memory imejaa nimeuninstall baadhi ya appl lakini bado,, nimeondosha baadhi ya appl pia kwenda kwenye SD card, nina clean master app, bado inaonekana imejaa kwa 98%. Siwezi ku-update wala kuinstall app mpya. Msaada tafadhali!