Viongozi, hivyo tuliwa sikia kituo cha mabasi yaendayo Kaskazini ya nchi yetu hususani mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na nchi jirani ya Kenya kitahamia eneo la Boko Basi Haya. Mradi huu umeishia...
Habari zenu wanandugu.....hivi ule mradi wa kuzalisha over 2000MW za umeme kwenye stiegler gorge iliyoko mto rufiji umefikia wapi? kulikuwa na wakati everyone was so excited and talking about it...
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakiangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam unaoratibiwa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati wa ziara ya...
Wakuu,
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia documentation - authentic (ukiachilia Google docs), inayohusu miradi mikubwa ya maji nchini Tanzania, naomba msaada wake.
Napenda kuishukuru serikali kwa kujaribu kufikiri jinsi ya kutatua tatizo la msongamano ila kuna mambo ambayo ukiwa unapita unajiuliza kweli wataalamu wetu mwisho wao wa kufikiri ni hapa...
The discovery of oil and gas in the Mtwara and Lindi regions in Tanzania is the main reason for the upgrade process Mtwara port is to undergo. MORE DETAILS ON EXPANSION SEE HERE: Mtwara Port in...
The reason for postponement is need to finding a more suitable contractor via vetting, and the completion of the design of the project. Please read more on this here for details
Kuna habari kuhusu mfuko wa PSPF kuja na project ya kukopesha nyumba kwa gharama nafuu. Things needed n kuwa member kwa mwaka usiozid mmoja..na mchango wa 10000@month..
Is this issue...
Dar ‘4th worst airport' in Africa
A view of Julius Nyerere International Airport. The facility is being expanded to cope with both passenger and cargo growing demand. PHOTO | FILE
By...
Video yake nitakuleteeni soon (kesho). I hope hii itabadili sura ya Dar kwa kiasi flani. Ujenzi umekwishaanza. Wenye info zaidi wanaweza kutupatia.
Linajengwa karibu na mataa ya Royal Palm Hotel...
Lack of materials, financial constraints major hurdles
The construction of the much awaited flyovers in the countrys business capital of Dar es Salaam could take longer to see the light of day...
TANZANIA | Dar es Salaam | multi-billion high rise project | Approved
PRESIDENT Jakaya Kikwete's 2005 election slogan - better life for all Tanzanians - is now being realized in deeds following...
TPSF Chairman Dr Reginald Mengi (R), Executive Director Godfrey Simbeye (L) and board member Dr Gideon Kaunda (2nd-R) listen to IFC Country Representative Dan Kasikye at breakfast talks in Dsm...
Napata Center - a new shopping center is opening soon off Morogoro Road.
Shops to let inside new Family Shopping Center right on a main road.
The road is the new shortcut bypass between morogoro...
Huu ni mradi mkubwa kabisa kutokea katika shule za sekondari nchini Tanzania. Chanzo cha mapato ya mradi ni kukamuliwa wananchi.
Kwa sasa hatulali huku vijijini Mgambo na Askari Polisi wanatusaka...
wana Jf. Kwa heshima kubwa naomba msaada kwa yeyote mwenye kuona ,kufahamu kuhusu rasimu ya Mamlaka hii. Mimi ni mdau mwathirika na mradi wa Mji-Mpya wa Kigamboni. Kuna hii habari ya kuundwa...
Acha kusumbuka tena na madirisha feki, njoo Eagle Aluminium ujipatie madirisha ya aluminium original kutoka Dubai (120,000per Sqm), uPVC Window - TSh. 230,000 per Sqm.
Pia njoo ujipatie bidhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.