Katika mfumo wa kupunguza foleni barabarani hapa Dar, inatakiwa kipaumbaele kiwekwe kwenye kujenga barabara za mzunguko (ring roads). Barabara mojawapo ni hii inayoanzia Mbezi Beach - Goba- Mbezi...
Wajameni, naombe kueleweshwa, kwa sasa hivi, mozambique wanagundua gas nyingi sana karibia mara tatu ya hii tuliyogundua hapa tz, na wapo hadi karibia mpakani mwetu, yaani mto Ruvuma. pia kule...
Nimemsikiliza Rais Kikwete akitoa ufafanuzi juu ya jinsi wawekezaji katika uchimbaji wa gesi na mafuta watakavyolipa gharama zao za uwekezaji.
Hata hivyo, katika maelezo ya Rais kuna jambo...
Ndugu wana JF,
Tanzania kuna miradi mingi inafanyika, mara nyingi mwenzenu naisikia wakati inatangazwa kwenye vyombo vya habari.
Kama mjasiriamali mdogomdogo na ningependa niweze kujua haya...
Ili kuwezesha huduma zetu kupatikana, maeneo yote ya Dar es Salaam, startimes inategemea kuzindua huduma ya satellite dish ambayo itatoa fursa kwa wakazi wote wa Tanzania kupata huduma za...
Mh.Magufuli amedai bungeni kwamba serikali itaanza ujenzi wa barabara za juu Dar!
Mie Mkweche najiuliza kweli kunahaja ya kujenga barabara za juu wakati barabara nyingi za mitaa ni Mbovu?
kwanini...
Habari wandugu,
Hii barabara yetu ya Mwenge-Tegeta mbona muda unakwenda bado hatuoni matumaini. Jamaa wapo Tegeta wanajenga daraja at snails pace imeshachukua mwaka mzima. Hapo mwenge napo hata...
TUMEPOKEA kwa masikitiko makubwa amri ya serikali kusimamisha utoaji hati za ardhi kwa wote wenye nyumba na viwanja huko Kigamboni. Kwa kifupi kulingana na sheria mpya ya ardhi inayotka kumpa...
Dodoma THE government will engage Private and Public Partnerships (PPP) to implement nine major infrastructure projects in the country.
A Minister of State in the Prime Minister's Office...
Wana Jf, mtakumbuka kuwa ni miaka sasa imepita tangu wakazi wa Kipawa wahamishwe na wakazi wa kipunguni kutakiwa kutoendeleza makazi yao wakisubiri kulipwa fidia na kuhama ili kupisha upanuzi wa...
Duh hawa Ernst and Young wanasema kweli?
African Barrick Gold (ABG) is a significant driver of economic growth in Tanzania, supporting tens of thousands of jobs and contributing $981 million, or...
Tanzanias energy ministry has revealed plans to set up liquefied natural gas plants in the country in collaboration with BG Group, Statoil, Axon and Ophir among other partners.
Tanzania is...
Health hazards posed by uranium mining
All Uranium mined end up as either nuclear weapons or highly radioactive waste from nuclear reactors. Uranium is a naturally occurring radioactive toxic...
Eneo litakalojengwa bandari mpya Bagamoyo ni lile lile ambalo chuo cha uvuvi mbegani kipo. Waalimu wanasema mamlaka ya bandari imeahidi kujenga chuo kingine eneo ambalo hawajajua ni wapi...
What are we waiting for, gas tunayo, tunaweza kutengeneza umeme mwingi wa kutumia hadi tukauza nje, kwanini train zetu zisianze kutumia umeme kama Ulaya na tupate zile za faster kama wenzetu...
Mengi yanasemwa na inavyoonekana ni kuwa wengi pia wana maswali zaidi sasa naomba mlio na maswali yenu (Kuhusu Daraja la kigamboni tuu) leteni nami nitajitahidi kuwajibu na kuwaweka sawa kwa...
By Reuters | DAR ES SALAAM
Tanzania's president has invited investors from the United Arab Emirates to join the rush for oil and gas in the east African nation, after recent gas discoveries along...
Hivi tumeshindwa nini kuunganisha reli ile ya kati toka kigoma hadi Burundi na Rwanda? Kufufua reli ile toka Tanga hadi Arusha to Kenya? Moshi Arusha mwanza? Tatizo letu ni nini?
Local sources report that the Government of Tanzania will use the Private and Public Partnerships (PPP) model to implement nine major infrastructure projects in the country. Last week, a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.