msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Habari zenu wanandugu.....hivi ule mradi wa kuzalisha over 2000MW za umeme kwenye stiegler gorge iliyoko mto rufiji umefikia wapi? kulikuwa na wakati everyone was so excited and talking about it lakini saa hivi naona kimya. hata bungeni wakati wa kujadili bajeti sikusikia mbunge yeyote akiuulizia mradi huo ulikofika. kuna yeyote mwenye taarifa? huu ni mradi mkubwa sana na serikali inapaswa kuhamasishwa ili kuutekeleza!