Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Wanajamvi, Ushauri wangu kwa rais Maghufuli kwenye hili ni mfupi sana. Nafahamu hapo mwanzoni alisema hata kushirikiana na upinzani hataki. Lakini pia wapinzani wamechukuliwa kama maadui wa...
29 Reactions
118 Replies
9K Views
Ninapenda kuleta kwenu mapendekezo yangu ya namna ya kupambana na uenezi wa ugonjwa wa Malaria na Homa ya Dengue. Katika utafiti wangu nilioufanya nimebaini kuwa zaidi ya 80% ya mbu wanaoeneza...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Kampuni ya Super Agri Technology ya China imesaini makubaliano na kampuni ya Tanzania Agriculture Export Process Zone kuwekeza $1 bilioni katika sekta ya kilimo na usindikaji kwa kipindi cha miaka...
1 Reactions
1 Replies
967 Views
Nipo hapa na makamanda wa chadema ambao wananieleza kwamba walikuwa hawajui umuhimu wa taifa kuwa na shirika lake la ndege kama ilivyo ATCL Wamedai kuwa leo baada ya kushuhudia midege mikubwa ya...
9 Reactions
54 Replies
6K Views
June 27, 2019 Arusha, Tanzania Taarifa ya matumaini Toka eneo la Kwa Sadala Kilimanjaro, Tanzania Umeme unaozalishwa kwa solar wa KV40 - 3 phase unaozalishwa na mwekezaji Thomas Munuo...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Wa Tanzania tumefanywa vihoja kwani kwa sasa Mtu mwenye passport (Hati ya kusafiria) ya Tanzania inamchukua wiki TANO (5) kupata VISA ya kwenda MISRI wakatiwenye hati za nchi nyingine ni siku TANO...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mkubwa pole na kazi. Napenda kukutaarifu kuwa kuna maofisa wako hapa mkoani Kagera ni wala rushwa. Kupitia post hii tafadhali saidia jinsi kukufikishia majina yao bila mimi kujulikana.
1 Reactions
41 Replies
4K Views
President Magufuli. It’s like he’s the only one who cares. The only one who’s at least trying to do something about it. It seems like he is fighting it all by his lonesome. After he is gone...
29 Reactions
227 Replies
12K Views
  • Redirect
Zitto azungumzia akaunti zake kudukuliwa, Nape na Bashe nao By Mwandishi Wetu, Mwananchi Kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe Dar es Salaam. Kiongozi wa chama...
0 Reactions
Replies
Views
  • Poll
Tunawasilisha hapa ombi la kuongezewa muda kwa mchakato wa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria mbali mbali uliopelekwa bungeni kwa hati ya dharura. Muswada husika yaani the Written Laws...
22 Reactions
39 Replies
5K Views
" "Hapatakuwa na mtumishi mwenye dhamana ya uongozi atakaye ajiriwa kama hatakuwa amepikwa kwenye chuo cha Chama cha Mapinduzi kinachojengwa Kibaha, ambaye hatafahamu taratibu za uongozi," Hii...
19 Reactions
65 Replies
6K Views
MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege (TAA) imesema Jengo la Tatu la Abiria (Terminal III) la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), litaanza kutumiwa na ndege kwa majaribio kuanzia Julai...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Hai, Cedrick Pangani amesema vyama vya upinzani visipoteze muda kufanya kampeni katika jimbo hilo katika uchaguzi wa serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020 kwani...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Hata saa mbovu mara mbili katika siku huwa inakuwa sahihi. Nlijifunza kitu kimoja katika maisha.nisimchukie mtu bali nichukie matendo yake. Tanzania imefika katika hatua ambayo kila kitu ina...
15 Reactions
22 Replies
3K Views
Bunge limepitisha sheria mpya ambapo kuanzia sasa mabango na matangazo yote kwa njia ya video ni lazima yapitiwe na bodi ya filamu na kupewa kibali. Msemaji wa kambi ya upinzani Salome Makamba...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunaambiwa CCM ina jumuiya Tatu za, WANAWAKE, VIJANA na WAZAZI. Sipati tabu kuzielewa jumuiya za Vijana na Wanawake maana ni identifiable kwa mujibu wa makundi husika. Napata tabu kuielewa hii...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
YALIYOJIRI LEO JUNI 14, 2019 WAKATI WA MKUTANO WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NA RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO, MHE. FELIX TSHISEKEDI...
12 Reactions
171 Replies
14K Views
Hao wote mbwembwe zao zote hizo mnazozishuhudia kwenye mitandao ya kijamii zitaishia wao KUKIANGUKIA CHAMA CHAO NA HUKU WAKILIA NA KUPIGA MAGOTI! Hao wote hawana ujanja wa maisha nje ya CCM.Wote...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amekutana na wachezaji wa Taifa stars na wadau wa michezo walioambatana na timu nchini Misri. RC Makonda amewapa salamu kutoka kwa Rais Magufuli na kuwaahidi kuwa...
8 Reactions
115 Replies
10K Views
Back
Top Bottom