Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kwa muda wa miaka sasa Ubalozi wetu Ujerumani umekuwa kama boma la mmasai kuanzia jengo na hata watumishi wake .Ubalozi huu ni mmoja kati ya Balozi kubwa lakini ukifika utadhani si Ubalozi wenye...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Jana nimemskia Mh. Zitto akijenga hoja kuwa wapo Watanzania wenye Dini na wasio na Dini. Akaendelea kusema kuwa wanasiasa wengi wamekuwa na tabia ya kufungua hotuba zao kwa kusema Bwana asifiwe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Leo Ni Tisa Disemba. Ni Siku yetu kuu kusheherekea Uhuru wetu. Tumetimiza miaka 55 ya uhuru. Tuna kila sababu za kusheherekea. Nitapenda niweke hapa simulizi ya kihistoria yenye...
9 Reactions
140 Replies
18K Views
Yapo mengi sana ambayo yaliahidiwa na CCM na Mgombea wake ndg JPM katika kampeni za uraisi 2015, lakini cha ajabu ni kwamba yaliyoahidiwa hayatekelezwi. Suala la Katiba mpya ni miongoni mwa ahadi...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Shabaha yetu ya kwanza ni kukamata madaraka ya nchi, huku shabaha ya ccm ni kudumisha madaraka waliyonayo. Hivi ndivyo siasa za karne ya 21 zilivyo. Chama kisicho na malengo ya kushika dola hicho...
1 Reactions
4 Replies
843 Views
Naibu Waziri wa Tamisemi, Mwita Waitara akijibu maswali katika kikao cha Bunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha 2019/2020, jijini Dodoma , alisema Ili kuondoa hali ya mkanganyiko katika jamii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani Rais Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa sana wa kujenga miundombinu ya Uchumi wa Nchi, ameweza kujenga na kuimarisha mifumo ya utendaji kazi na ameweza...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Naibu waziri wa mambo ya ndani mh Masauni amesema serikali iko katika hatua za mwisho za kurekebisha sheria ya usalama barabarani. Marekebisho hayo ni pamoja na kuongeza kiwango cha faini kwa...
1 Reactions
69 Replies
4K Views
Serikali imesema ipo katika mchakato kufanya maboresho ya sekta ndogo ya haki jinai nchini ili kuendana na kasi kubwa ya mabadiliko duniani yanayotokea katika nyanja mbalimbali. Waziri wa katiba...
2 Reactions
1 Replies
743 Views
Serikali ya awamu ya Tano Chini ya Uongozi wa Rais John Joseph Pombe Magufuli kwa kushirikiana na Sekta binafsi inatekeleza mkakati mahsusi kwa ajili ya kuwajengea ujuzi nguvukazi ya Watanzania...
1 Reactions
3 Replies
732 Views
Ni miezi tangu homa ya Dengue ilipoingia lakini mpaka sasa hatuoni chochote kinachoendelea mitaani kwetu, uliliacha swala la Dengue ukarukia kwenye Ebola ambavyo haipo, kilichopo mbele yako ndicho...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro limewakamata tena Mwenyekiti bavicha taifa, Mhe Patric Olesosopi na Nafal Ngogo pamoja na dereva wao, wamekamatiwa Mgeta leo 24/6/2019 wakielekea Jimbo la Mlimba...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika kile tunachoweza kusema ni "vitisho" toka serikali kuu na CCM kwa Wabunge na Bunge letu, zoezi la kupigia kura bajeti ya Nchi 2019/2020 litaoneshwa live na television ya Taifa (TBC)...
0 Reactions
6 Replies
944 Views
*Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi kwa kupitia chama cha mapinduzi Ndugu Elibariki Emmanuel Kingu Leo amepigana na mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika jimbo la Mfenesini Ndugu...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo waziri wa fedha anahitimisha hoja ya bajeti ya nne ya JPM kwa kujibu hoja za wabunge na kisha kupigiwa kura kwa kuita jina la mbunge mmojammoja. Je, CCM watasema SIUNGI MKONO hoja? Je, hii...
0 Reactions
4 Replies
775 Views
Huyu katibu mwenezi wa ccm amekuwa na kauli nyingi zenye ukakasi, lakini mbaya na inayo tufikirisha kama wananchi hasa wa mkoa wa Kigoma ni hii ya kusema kuwa 2020 Zitto atafute Kazi ya kufanya na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa hali hii uchaguzi huru na haki haupo Tanzania labda nguvu ya umma itumike
5 Reactions
70 Replies
6K Views
Ndugu zangu wana kijiji chetu cha tupendane naomba kuwauliza hii tabia iliyo jitokeza ya kila mtendaji wa kijiji chetu kila akipata muda wa kuhutubia wana kijiji au wageni utasikia hii serikali ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Ndugu Humphrey Polepole amemwambia Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe, akatafute kazi nyingine ya kufanya...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Nawaonea huruma moyoni wanaugua magonjwa ya moyo na pressure ya juu wakati mwingine huwa wanajifungia wenyewe chumban wanalia. Hii inaitwa usiyempenda kaja hawakutegemea kama Magufuli alikuwa...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom