Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kama kuna Siku ambayo Rais wangu umeniangusha basi ni leo hasa kwa Kitendo chako cha Kuamua Kumruhusu Rais wa Wakuu wa Mikoa wote nchini Tanzania na Mwanao Kipenzi na asiyegusika Mkuu wa Mkoa wa...
18 Reactions
74 Replies
8K Views
Katika siku za karibuni Mwanasiasa Mfanya biashara Rostam Azizi amekuwa akijtokeza sana hadharani na kutoa matamko mbalimbali ya kisiasa ni kama vile amezaliwa upya.Hali hii imekuwa ikinishangaza...
9 Reactions
49 Replies
5K Views
Serikali imesema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa maji wa Lamadi uliopo Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu ambao utekelezaji wake umefikia asilimia 93. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ameipongeza Bodi ya wadhamini na menejimenti ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jami (NSSF) huku akiitaka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetenga kiasi cha shilingi bilioni 400 kwa ajili ya kazi ya kusambaza umeme kwenye maeneo takribani 754 yaliyopitiwa na miundombinu ya umeme lakini hayana...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Moja kwa moja, Kwa hali ninavyoiona africa na dunia nzima kwa ujumla ni hakika kwamba mwaka 2020 ni mwaka wa kuiondosha ccm na wapumbavu wake kutoka madarakani. Nawahakikishia wana JamiiForums...
14 Reactions
64 Replies
5K Views
if you think the worst was over, think again! The cycle is about to start again! From Richmond, Dowans to Symbion with peddling and corruption! TANESCO is still a punching bag! Mungu Ibariki...
4 Reactions
81 Replies
7K Views
Naibu Katibu Mkuu UVCCM Tanzania Bara na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Ndugu Galila Wabanh'u ameibuka na kuzungumzia matamshi ya hivi karibuni yaliyotolewa na Mbunge wa jimbo la...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Wale waliobeza ujenzi ukuta wa Mererani sasa wanaumbuka.Takwimu hapo chini zinaonesha jinsi mapato yanavyopaa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mara baada ya Mh Agustino Mrema kuteuliwa wadhifa wa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, alianza kazi kwa mbwembwe nyingi. Kwa hamasa kubwa aliyokuwa nayo na wadhifa huo mara kwa mara alijikuta...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
NDEGE nyingine mbili kubwa zilizonunuliwa na serikali ili kuendelea kuboresha Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) zitawasili nchini Desemba, mwaka huu. Hayo yalibainishwa na Waziri wa Ujenzi...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Redirect
Akiwa viwanja wa Bunge nchini Kenya mbunge wa Jimbo ya Starehe Charles Njagua maarufu Kama Jaguar amekamatwa na jeshi la polisi nchini humu Stareherles Njagua Kanyi has been arrested following...
1 Reactions
Replies
Views
Wanabodi habari... Kutokana na adha wanazopata wazazi, wahitimu au hata walimu mbalimbali kufunga safari kutoka makwao sehemu mbalimbali. Just imagine mtu anatoka BUKOBA Au KIGOMA anaenda hadi...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtaka Waziri mkuu kutoa tamko kuhusu video inayosambaa mitandaoni ikimwonyesha mbunge wa Kenya akiwataka Watanza walioko Kenye kuondoka ndani...
10 Reactions
77 Replies
9K Views
TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tari) imeanza mkakati wa kupunguza uagizaji wa mafuta ya kula kutoka nje ya nchi baada ya kuanza kuzalisha mbegu za alizeti zilizothibitishwa ubora kwa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni ujinga na unafiki uliopitiliza kumlaumu RC huyu anaelallamikiwa na wakati huo huo ukawa mtetezi wa yule anaemlinda. Tatizo la msingi si RC huyu, bali ni yule aliemuweka hapo na kujifanya...
1 Reactions
5 Replies
848 Views
MAJADILIANO ya Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, yanaendelea huku serikali ikisema kasi yake ni kubwa, ambayo ikilinganishwa na nchi nyingine zilizowahi kufanya mchakato kama huo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
TANZIA: Chama cha ACT Wazalendo kinasikitika kutangaza kifo cha Diwani wake wa viti maalum katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Ndg. Tumaini Bigilimana ambacho kimetokea leo tarehe 03 Juni...
4 Reactions
75 Replies
11K Views
Nimemsikia Mwenyekiti wa bodi ya NEMC akisema watajenga ofisi eneo la mradi! Napenda kusema huu utakuwa ufisadi wa hali ya juu kwani ofisi hiyo haitakuwa na kazi bali kula fedha za walipa kodi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom