Kupata Visa Ubalozi Wa Misri Ni Noma

Kabwela

Member
Feb 11, 2008
76
5
Wa Tanzania tumefanywa vihoja kwani kwa sasa Mtu mwenye passport (Hati ya kusafiria) ya Tanzania inamchukua wiki TANO (5) kupata VISA ya kwenda MISRI wakatiwenye hati za nchi nyingine ni siku TANO za KAZI. Je MISRI waTZ hatutakiwi au wao ndio wanatufanyia Ufisadi????

Kuna Tetesi kuwa kuna Mtaalamu MMOJA toka Misri ilikuwa aje kufundisha watu wa IT BoT moja ya majina yake ni OSAMA amezuiliwa kwani alikuwa anakuja wakati BUSH anakuja Bongo. Kutokana na USANII na usumbufu wanaopata kwao Ubalozini kwetu na jamaa wameamua kutukomoa.

Hivi tume ziundwe kwa kila kitu jamani tutafika bongo!!!!!!!!!1
 
Back
Top Bottom