Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
  • Redirect
Vocabulary Quiz
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Vocabulary
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Vocabulary
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Phrasal verbs
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Prepositions
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Idiom Question
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nationalities
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nationalities
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Inatubidi tujifunze kutofautisha kati ya "KIBURI" na misimamo, tusije tukawa tuna "KIBURI" halafu tukadhani tunamisimamo. 📌
2 Reactions
Replies
Views
Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Nikiwa mtoto nilikua nikisema shikamoo kwa upesi sana lakini kadri navyozidi komaa kiakili napata ugumu wakulisema pale napokutana na watu walionizidi umri. "Shikamoo" ni neno la kiswahili sanifu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wadau, Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini. Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Kiswahili ni lugha ambayo imetokana na Kiarabu na Kibantu na maneno mengine machache yaliongezeka kidogo kidogo kutoka lugha zingine za Afrika, Uropa na Asia. Kabla ya kuja wakoloni wa ki Uropa...
8 Reactions
250 Replies
36K Views
Kumekuwa na kasumba ya watendaji wakuu wa serikali kutoa maelekezona majibu kwa kutumia lugha ya kiingereza na kiswahli, Hali hii imepelekea wananchi wengi kubaki wasikilzaji wa sauti pasipo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Alama, inayojulikana pia kama International Day of Sign Languages, husherehekewa kila mwaka tarehe 23 Septemba. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kuongeza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeona likitumika mahali kadha wa kadha, asili ya ili neno bosheni ni nini? Na maana yake ni nini?
1 Reactions
6 Replies
938 Views
Ukifika mitaa ya Mbezi mwisho ukiulizia mkalimani Clark huwezi nikosa kabiiiiiisa Ni Mimi mtaalamu wa lugha ninayeweza kuongea Hadi lugha tano 😌 Leo tunaanza na salamu za asubuhi...
1 Reactions
3 Replies
318 Views
Kwa anaye kielewa anijuze. Wakenya wanaharibu sana lugha yetu. Kurasa za mitandao ya kijamii ya bbc imegubikwa na Kishwahili kibaya sana(kisicho fasaha). Ili nalo likatazamwe!
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo...
17 Reactions
52 Replies
2K Views
Mara nyingi nasikia Pembe za Ndovu na meno ya Tembo na sio vice versa je tofauti yake ni nini? Naombeni mnisaidie kwa hili.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom