Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hili ni gazeti la lugha ya kiingereza la leo 12/09/2023 kutoka Tanzania! Kichwa cha habari ni sahihi? Najua ujumbe kusudiwa umefika! Najua ni makosa ya kibinaadamu! Tatizo wakenya wataanza...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Huyu dada anaimba lugha gani. Na wimbo una maanisha nini? Nyimbo amabazo anacheza huku amesimama ninazo pia ila mpaka ulipie hela
0 Reactions
0 Replies
284 Views
It was July 2022, I woke up early in the morning the rays of sunlight was brightly shining like a pieces of broken glass exposed to the sunlight...
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Kuna tofauti gani iliyopo kati hizo terms hapo huwa zinanitatiza.Kwenu JF
2 Reactions
5 Replies
629 Views
Nanukuu "wakenya mnakiswahili kibaya inatakiwa mpewe darasa la kiswahili"- Samia s. Hassan "Sisi ndio tunakiswahili kibaya ila tunawajibu kwa kiswahili kibaya na watanzania mnatujibu kwa...
2 Reactions
9 Replies
714 Views
Wakuu hivi ukiambiwa eating gluten fee inakua inamaana gani?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
NANI ATANGULIE Kifo hakina chaguo, chabeba kimtakae Wawili wapendanao, mke mume kichukue Na hata kwa mkupuo, bora kifo kiamue Ni nani atangulie, kati ya mke na mume? Mke ndiyo kimbilio...
0 Reactions
7 Replies
379 Views
Bamia kwa kingereza zinaitwaje? Twende kazi[emoji123]
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu kuna anayejua chanzo kilicho pelekea wakoloni kuitwa mabeberu? Naomba mnipe maelezo ya kina maana binafsi sijaelewa mpaka sasa. vi
0 Reactions
7 Replies
724 Views
Pesa si matumaini yao Ni msukuma mkokoteni Tena na jua kali kichwani Pato lake sio ahueni Pesa si matumaini yao Ajabu mwajiriwa tajiri Na mwajiri wake ni fakiri Analipa, kipato swaghiri Pesa si...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Habari za mda huu wakuu. Kwanza kabisa nikiri kuwa asiyekubali kujifunza hafai kuishi katika dunia hii ya mabadiliko, Leo katika pitapita zangu nikaona jengo flani ivi limeandikwa MINI SUPER...
3 Reactions
13 Replies
852 Views
Siku hizi kuna msemo maarufu sana wa 'pira papatu papatu', wengi hawaelewi asili ya msemo huu. Msema huu asili yake mchanganyiko wa struggles za na sauti zitokanazo na samaki anapokua akirukaruka...
2 Reactions
4 Replies
772 Views
Habari za asubuhi wana JF, Nimekuja humu nina shida ndogo maana penye wengi pana mengi nimehamia nyumba fulani hapa jijini wenye nyumba ni wahaya hawa watu wakiniona nimerudi wao ni kihaya tu...
1 Reactions
37 Replies
19K Views
ATI HATUJIELEWI Hatujishughulishi Na mnatujaji Hatuna mitaji Nyie wafujaji Manayajaza matumbo yenu Mtumba mitumbani Tunalipa kodi Bila ukaidi Nyie mwafaidi Mazingira yetu bado duni Shamba ni...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
High Court Judgement "I hereby quash the entire proceedings and judgment of the lower tribunal for being nulity, Everything in ownership of the disuputed plot remains as if there was no case...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Hili neno lina maana gani wakuu?
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Wapi naweza kujifunza lugha ya Kichina? Nipo Dar es Salaam
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Good afternoon members (sijui kama nimepatia 😂 ) Kuna sehemu imeandikwa Received from / issued to. hapa unaweza kuandika bidhaa flani imeletwa kutoka stoo ama naandika majina ya wateja...
2 Reactions
20 Replies
797 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naombeni tafsiri sahihi kwa kiswahili ya sentensi I saw him leaving the house Aksanteni na karibuni
2 Reactions
13 Replies
881 Views
Back
Top Bottom