Stephano Shahidi
Member
- May 28, 2023
- 55
- 63
Habarini wadau,
Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini.
Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye mfumo HCMS na kuweza kupangiwa kituo Cha kazi.
Swali je nikiomba tu psrs au mamlaka yoyote ya ajira nchini Tz sitaingia kwenye masuala ya mchujo? Naogopa usaili wa mchujo.
Nina miaka mingi kumi na tatu toka nihitimu chuo halafu Niko mtaani je nitaweza kuchuana na freshers jibu ni hapana.
Naomba ufafanuzi.