Naombeni ufahamu kuhusu huduma za N-Card

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
466
661
Wakuu jana nimelipia pesa kwaajili ya mechi ya Yanga dhidi ya Geita kwa bahati mbaya nimepata shida, sitoweza kufika uwanjani.

Je, pesa yangu itabaki kwenye kadi au ndiyo imepotea hivyo? Mwenye uelewa kuhusu N-Card naomba kujuzwa hili.
 
Ushawahi kutumia kadi yoyote ya pre paid mfano zile za mwendo kasi na za kulipia pale ferry ww umeweka salio au umenunua ticket?
 
Nimelipia ticket ASA sjui hapo kama salio langu limeishatumika hata kama sjaingia au bado limo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom