Kamakichwa cha habari kinavyosema;
Nandondosha sumu ndani ya shimo mara moja na Bamia kusinyaa Mara moja.
NIFANYAJE?
KABLA YA YOTE HABARINI.
NA NAHITAJI MSAADA WENU
WANA JF...
Wiki 2 zilizopita mke wangu alimaliza dozi ya ciprofaxin za India.
Sasa nashangaa anaumwa tena, dalili zile zile.
naomba msaada wa dawa zipi efective za kutibu typhoid.
je, baada ya kumeza dawa...
SPECIAL FEATURES / 21 Jul '16, 4:36pm
Sharon Lewin and Thomas Aagaard Rasmussen
Antiretroviral therapy has revolutionised the lives of people living with HIV. In many countries, the life...
Wadau nisaidieni.
Mke wangu anauja uzito wa miezi miwili hivi.
Anatapika kila mara na anasikia maumivu makali ya mgongo/kiuno.
Nilienda hospital nikakutana na daktari kanambia niuanche tu atulie...
Wanajamvi habarini za leo
Mimi tatizo langu nasumbuliwa sana na miguu chininya nyao wakati mwingine inawasha washa,nwakati mwingine inachoma choma na kunacwakati inawaka moto, usiku silali kabisa...
Wanajamii folum kwa mda sasa na tatizo la kupumua halufu nzito na kutoa halufu mbaya mdomoni inayo pelekea kunipa usumbufu kuwasilina na watu naomben msaada mawazo na nitumie dawa gan
Wakuu nimekutana na wanaume wengi wenye hili TATIZO, baadhi nimefanyanao mahojiano lkn wengi wanasema hawajui chanzo wameshituka tu wapo hivyo shieeda Ni nini Kwa anayejua jamani mawazo, maoni au...
kwa mujibu wa wanasayansi na watafiti bacteria wa ugonjwa huu wanatengeneza ugumu kwa antibiotics mbili zenye uwezo wa kupambana na bacteria hawa. Hali ikiendelea hivyo watakosa dawa. Tunahaswa...
Habari zenu!
Nimewahi sikia kuwa endapo mwanamke atajifungua mtoto wa kwanza kwa njia ya operation, basi watoto wanaofuata yeye kujifungua basi nao watazaliwa kwa njia ya operation.
Je kuna...
habar ndugu. mim ni mzaz wa mtoto mwenye umri wa miez saba sasa ila haongezeki uzito kwa haraka. mara kwa mara nkimpeleka kliniki huongezeka gtam chache sana au kilo hubaki hapo hpo. sasa anamiez...
Hii ni knowledge alinifundisha mwalimu wangu wa BIOLOGY sasa cjui ni ya kweli coz bado sijafika mda wa kujaribu ila kwa wewe unaetaka mtoto wa kiume na hupati jaribu hii trik kabla ya kwenda kwa...
Wadau nisaidieni,
Mke wangu anaujauzito wa miezi miwili hivi.Anatapika kila mara na anasikia maumivu makali ya mgongo/kiuno.
Nilienda hospital nikakutana na daktari kanambia niuanche tu atulie...
Habari wanajamii,
Kumekuwa na wimbi la wanaume wengi wakisema wamejihusisha na punyeto na kupata madhara, sasa nikawa najiuliza nini hatima ya hawa ndugu zetu maana sijawahi kuona watu wanatoa...
Habarini JF
Kama heading inavyojieleza, kuna jamaa yangu aliniuliza, Azoospermia ni tatizo gani, Na Je, linatibika?
Sikuwa na uelewa sana juu ya hilo tatizo japo najua linahusiana na mambo ya...
Wakuu natumai hamjambo. Nina sumbuliwa na maumivu ambyo huanzia kwenye uti wa mgongo juu kidogo ya kiuno na kusambaa kwenye misuli ya tumbo pande zote. Maumivu haya hutokea kama "electric shocks"...
Habari za hapa,
Hii hali siielewi itaisha lini, huwa nakuwa mkali ghafla inayoambatana na mawazo mengi kiasi kwamba hadi inaathiri mfumo wa hedhi najikuta inakuwa mara 2 kwa mwezi hasa pale mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.