Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ndugu wadau mwanamke anayenyonyesha anaweza akapata ujauzito? Maana kuna watu wanasema kunyonyesha ni moja ya kinga ya ujauzito. Je ni Kweli? [emoji68]
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna mtu hapa niko naye anamaumivu sana ya tumbo na maumivu ya pumbu. Tumbo linauma na kupoa ila pumbu zinauma muda sasa
0 Reactions
2 Replies
927 Views
(CNN)In 2008, one man, Timothy Ray Brown, was cured of HIV. Also known as the "Berlin patient," Brown was considered cured of his infection after receiving two bone-marrow transplants to treat a...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Inasemekana kuwa, kadri uwezo wa uelew kwa watoto wa kike, wavulana, wanaume na wanawake wanavyozidi kupanuka ki upeo kuhusu ELIMU YA AFYA YA UZAZI, ndivyo utoaji wa mimba unavyokuwa mwepesi na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wadau, Shikamooni wakubwa Naombeni ushauri kwenu kuhusu hili tatizo langu. Mwenzenu napenda kula kupita maelezo, sasa hili tatizo linaniboa pia linanisikitisha kiafya. Maana sometimes...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Habarini wanajukwaa, Naomba kuuliza kama kuna madhara yoyote ya kunyonyana mate (denda) kama zipo ni zipii? Nawasilisha.
0 Reactions
24 Replies
22K Views
  • Redirect
Kuna jamaa best yangu sana kiasi sometimes hushare vitu very personal. So ana kitu kimoja, anapiga nyeto toka kitambo but in this form; Analala tu kifudifudi kitandani na kuvuta hisia anapiga...
0 Reactions
Replies
Views
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25 nina mke wangu shida angu ni kwamba kama kuna mtaalamu humu ndani anisaidie maana mke wangu anaonyesha dalili zote za kuwa mja mzito kama kutopa siku zake...
0 Reactions
37 Replies
35K Views
  • Redirect
Ndugu wana JF, naomba kuuliza kuna siku rasmi ambazo mwanamke na mwanamume wakikutana anatokea mtoto wa kiume? NB: Naomba nieleweke kwamba lengo langu ni kutaka kujua namna ya kupanga kutungisha...
0 Reactions
Replies
Views
  • Closed
Pengine heading haijielezi vizuri ila Nakumbuka mara ya kwanzà 2006 nikiwa nafanya ma....!! uume haukusimana vizuri nilipiga kimoja tu bas ila siku nyingine mambo yakawa poa. Hivi mara ya kwanza...
4 Reactions
99 Replies
20K Views
Ndugu madaktari na Wauguzi,habari zenu,poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu hili.Naomba msaada wenu wa hali na mali kuhusu nifanyaje kuhusu bibi yangu. Bibi yangu ni mzee karibia zaidi ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna ndugu yangu ana ukimwi tena sio nasikia yani najua na vipimo vyake vyote navijua. alianza kutumia dawa tangu nikiwa form1 mpaka saizi. kaja huku kijinini kaanza kugawa utamu ovyo kwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
UJANA ni kipindi cha mpito kutoka utegemezi wa utoto hadi utu uzima huru na ufahamu wa kutegemeana kwetu kama wanachama wa jumuiya. Hata hivyo, umri ni njia rahisi ya kufafanua kundi hili, hasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Faida ya matumizi ya zao la karoti pamoja na faida zinazopatikana kutokana na utumiaji wa zao hilo, ambalo kimsingi mizizi yake ndiyo hasa zao lenyewe. kumbuka kuwa karoti inalimwa karibu kila...
12 Reactions
20 Replies
69K Views
Ni kijana 27 yrs, hilo tatizo limenikumba mwezi na nusu sasa. Kila ninapoamka asubuhi jogoo kalala tu imefika wakati naogopa kukutana na mtu wangu nikiogopa kudhalilika. Msaada tafadhali. Cc...
1 Reactions
66 Replies
11K Views
Heshima kwenu wote mnaostahili kuheshimiwa, Naomba kujua umri sahihi wa mtoto wa kiume kutahiriwa,maana nimekupa napat changamoto sana,mtaani kwangu kuona watoto wadogo chini ya miaka miwili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Redirect
Naomba JF doctors ama hata wenye uzoefu kupitia tatizo kama hili kwa ndugu na jamaa zao anisaidie kufahamu dawa ya tatizo hili.
0 Reactions
Replies
Views
The National Institutes of Health has awarded approximately $30 million in annual funding over the next five years to six research collaborations working to advance basic medical science toward an...
1 Reactions
0 Replies
536 Views
Gazeti la leo la Mwananchi limeripoti kuwa kuna dawa feki za kupunguza makali ya ukimwi kuwa zik mtaani kwa muda toka mwezi Machi, hii imekaaje wadau? hivi kweli hawa tuliowapa dhamana ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi, Nina mamybaby wangu ambae kutokana na malengo yetu niliamua kumuweka kipandikizi ili kuepuka mimba zisizotarajiwa. Sasa tatizo baada ya kumuweka tu yaani siku zake badala ya siku tatu sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom