Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wanajamvi.. Utafiti uliofanywa na Dk Brian unaonyesha kuwa uvaaji wa chupi au boxer wakati wa kulala ni hatari kiafya kwa watu wote. Baadhi ya madhara hayo ni Ugumba na maambukizi ya...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Habarini wanajamvi, Naomba kufahamu kwa mwenye uelewa kuhusu ugonjwa wa TAMBAZI ambao dalili zake ni maumivu ya ndani kwa ndani, kwenye mikono au miguu. Ahsante.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Naombeni kujua iwapo mume wangu atapiz mdomoni kwangu na nikazimeza shahawa zake je, kuna athari zozote za kiafya?
0 Reactions
430 Replies
137K Views
Habari samahan nina shda na tiba ya Sugu za vidole vya miguuni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu Kama kichwa cha habari kisemavyo nipo nae Kwa takriban miaka minne sasa na kipindi chote tukikutana 100% tulikuwa tunaridhishana, lakini kwenye hizi siku za usoni kama miezi miwili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Redirect
Anayejua dawa ya kuondoa ganzi ya mkono
0 Reactions
Replies
Views
Wapi alipo daktari mtaalam aliyebobea ambaye naweza kumuona kwa hapa Dar es Salaam kwaajili ya tatizo hili? Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilienda kupima vvu last month nilivyofika pale jinsi tuu nilivyokua najiamini hadi yule mhudumu alishangaa tulipiga stori kama ndugu badae nikapokea majibu nipo positive akanipa rufaa kwenda...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
KISUKARI NAMNA YA KU-CONTROL SUGAR Hutokea mara moja moja kuamka sukari iko juu(8-10) nina 55yrs Aidha kwa sbb zisizoeleweka(Malaria) au kubadilika muda wa kula au chakula hasa matunda/juice...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu habari zenu, Wakuu naombeni yeyote ambaye anafahamu/ ama alisha wahikutumia dawa za kimasai za kukuza maumbile ya kiume jamani anisaidie na mimi nipate, nina tatizo la maumbile madogo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu Nisiwachoshe sana, ni kwamba mke wangu kila anaposhika ujauzito naumwa sana kiuno na hali hiyo itaendelea hadi atakopojifungua nakuwa mzima kabisaa hata chembe ya maumivu, je...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Sikuwahi kufikiria kuna siku hospitali zetu zitakosa sindano muhimu kama hii ya tetenas teba haoa Dar. na wizara ya afya ikakaa kinya bila hata kutoa tamko au kutujulisha wananchi juu ya uhaba...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
  • Redirect
Mwanamke akipata chanjo ya homa ya ini, ugonjwa ambao unaua na kusumbua wengi duniani ikiwamo Tanzania. Picha ya Mtandao KWA UFUPI Wataalamu wanaeleza kuwa Hepatitis B au homa ya ini ni...
9 Reactions
Replies
Views
Je, una mtoto mwenye tabia zifuatazo; *Mtundu kupita kiasi? *bado hawezi kuongea ingawa umri wake inatakiwa aongee? *hulia ama hucheka bila sababu? *Anachakua sana chakula kupita kiasi? *je...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Juzi ulisema madaktari wanafanya biashara na MRI kwa kuwaelekeza wagonjwa kwenda kwenye hospitali binafis. Bado mchezo huo unaendelea. Leo wagonjwa bado wanaelekezwa huko kwa watu binafi. Chukua...
0 Reactions
2 Replies
889 Views
Naomba mwenye kufahamu mtoto huchukua muda gani kukatika kitovu? Je. Kama kikichukua muda mrefu zaidi hata wiki tatu kuna madhala? Au haina shida?
0 Reactions
11 Replies
25K Views
Naamini almighty amewapa afya, na wale wauguao mungu awaponye! Niende kwenye shida yangu straight, Ni week ss sijakutana namwanamke ila kuna mabadiliko yanantisha kidogo hasa niendapo haja ndogo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
  • Redirect
wakuu heri ya pasaka, ni zaidi ya miaka 20 tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi limekua likinikabili ila sikuwahi fuatilia chanzo na treatment. Hili tatzo hua linatokea hasahasa muda wa kuswaki...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu Zangu Naombeni Ushauri Nikichuchumaa Wakati Wa Kujisaidia Nashindwa Kusimama Miguu Inauma Sana Kila Siku.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom