UZAZI: Nitajuaje kama mtoto ameelekeza kichwa kwenye njia sahihi ya kutokea?

Joyeuse

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
267
159
Habari waungwana wanaJF,

1. Nataka kujua kuna dalili zipi zinazomjulisha mjamzito kwamba mtoto ameshageuka kichwa chini?

2. Nina ujauzito wa 34 weeks ila nashinda na kopo ndani la kukojolea maana nachoka kutoka kwenda msalani chanzo ni nini?

3. Sipati usingizi usiku kucha ila ikifika sasa moja asubuhi lazima nilale. Usiku kucha ni mwendo wa mateke kama nimembeba John Cena yaani. Nahitaji suluhisho hapa penye usingizi.

Natanguliza shukrani.
 
Yan hapo jiandae na uchungu siku c nyingi. kama akiwa anageuza kichwa utahisi kwa kuelekea chini sehemu mojawapo panakuwa pagumu saana.

Na mimba ikiwa kubwa usingizi unakuwa wa shida sana kwa sababu kila sehemu unaona inauma uma tu.
 
  • Thanks
Reactions: nao
swala la usingizi ni jitahidi ufanye mazoezi ili uchoke sana mwili uhitaji kupumzika.. ha ha ha eti umebeba johncna pole mwaya . mwanaoatakuwa analala asubuhi na mchna halafu usiku ndiyo anacheza
 
Suluhisho la nini hapo. Huna cha kufanya, acha Mungu afanye kazi yake.
 
Yan hapo jiandae na uchungu siku c nyingi. kama akiwa anageuza kichwa utahisi kwa kuelekea chini sehemu mojawapo panakuwa pagumu saana.Na mimba ikiwa kubwa usingizi unakuwa wa shida sana kwa sababu kila sehemu unaona inauma uma tu.
asante ila huwa naona tumbo linatutumka upandeupande na linafanya kama unavyosema. Na teke za mbavu!! Ifike siku nna ham ya kumuona!
 
swala la usingizi ni jitahidi ufanye mazoezi ili uchoke sana mwili uhitaji kupumzika.. ha ha ha eti umebeba johncna pole mwaya . mwanaoatakuwa analala asubuhi na mchna halafu usiku ndiyo anacheza
mazoezi nnafanya ila mguu wa Julia umenibana najitahidi hivyo hivyo!!
 
Haahah Miss Chagga utaomba poo ila raha maana nisipohisi teke namchokoza, akianza ndo anappiga kwa hasira sasa. Usijaki utafika tuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom