Msaada wa kupata Daktari bingwa

Kijuram

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
513
372
Salama waungwana?

Kwa anaefahamu wapi katika jiji la Dar es Salaam anapatikana daktari mtaalamu wa afya ya uzazi na magonjwa ya wanaume.

Nahitaji daktari wa kisayansi sio wa tiba za kienyeji au tiba mbadala.
 
Agha Khan yupo daktari full time kuanzia saa mbili asubuhi to saa kumi jioni. Nadhani na tmj na msasani peninsula hospital pia. Ulizia urologist utampata.

Kwa urahisi zaidi google namba ya hospitali upige na kupata maelezo zaidi.
 
Asanteni kwa michango yenu waungwana. Nitaifanyia kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom