ZZK Masters strategist

ZZK Masters strategist

nkobagu

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
26
Reaction score
11
Nilikuwa natafakari nia ya kina ZZK kuanzisha ACT nikagundua siri iliyo wazi huyu jamaa baada "kuonja utamu wa CCM" na kushtukiwa na makamanda akachekecha akaona akienda CCM mrija utakatika (Refer kina Kaborou, Shonza et. al). Akaona ili aendelee kuvuta atengeze kamrija kengine (kwa kuendelea kuwatumikia mabwana zake a.k.a MaCCM).

Wasiwasi wangu sijui kama Kitilla ana "shares" nyingi. Nawashauri kina Shonza baada ya kutumiwa na kuchuja (kama C...ndom) basi nao wajiunge ACT ila wakomae mgao uongezeke sio mshiko wa vi-vocha.

Chezea CCM, chezea ZZK weye. Posho ya vikao ya nini? wakati kuna mabilion ya bwerere?
 
Back
Top Bottom