Zungu na Mchakamchaka Bungeni

Zungu na Mchakamchaka Bungeni

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,694
Reaction score
3,308
Leo Bungeni katika kipindi cha maswali na majibu wauliza maswali na wanaojibu wamekuwa wakikatishwa bila hoja maalum kueleweka kwa Muuliza swali na anayepaswa kujibu.

Wasiouliza nikupiga makofi kwa wingi.

Mkiti wa Bunge alikuwa ZUNGU. Hakuna utaratibu wala muongozo.

Afya ya Bunge letu iko wapi?
 
Anataka maswali na majibu ya moja kwa moja (straight forward). Baadhi ya wanaouliza na wanaojibu wanafanya kwa kuzunguka (maelezo marefu yasiyohitajika) na hivyo kupoteza muda.
 
... huyu Zungu si ndiye alipendekeza kodi ya laini za simu huyu?
 
Duuu, hata hivyo hongera kwa kufuatilia hilo bunge la majizi ya kura.
 
Back
Top Bottom