Sio lazima kuwekeza majengo ila la msingi hapa ukwepaji kodi, haya makampuni ya simu yanakwepa kodi ndio madai ya Zungu, sasa tunataka mwenye data kamili tujue mapato yao na kodi wanayolipa ili tulinganishe vinginevyo msemo wa shamba la bibi utabaki ukivuma.Hoja zisizo na maana,
Nani alikwambia makampuni ya simu huwa yanawekeza kwenye majengo?
Labda kama alikuwa na madai mengine ya kodi na gharama sawa.
Kwa mara ya kwanza toka namsikia Mheshimiwa Zungu leo kaongea kama Mzalendo,UNYAMBILISI makampuni ya simu yanayowatendea watanzania.
Anasema Taifa limekuwa SHAMBA LA BIBI,kwenye REVENUE WATCH.
Tanzania inapoteza TRIONI MOJA NA BILLIONI MIA TANO kutokana na Kodi inayopotea kupitia makampuni haya kukwepa kodi.
Ni wapi Makampuni haya yamekwisha invest hata kimajengo hapa nchini [I stand to be corrected]
Asante Zungu kwa maono hayo,kumbe wewe kichwa.ulikuwa wapi siku zote.Jamani naomba kumjua Zungu kwani sikuzote nilikua naona kama ni watu walewale wa kulala bungeni.
Very shallow comment ametoa data? Au mleta mada ndo kasinzia hada analeta kitu skeleton tupuKwa mara ya kwanza toka namsikia Mheshimiwa Zungu leo kaongea kama Mzalendo,UNYAMBILISI makampuni ya simu yanayowatendea watanzania.Anasema Taifa limekuwa SHAMBA LA BIBI,kwenye REVENUE WATCH.Tanzania inapoteza TRIONI MOJA NA BILLIONI MIA TANO kutokana na Kodi inayopotea kupitia makampuni haya kukwepa kodi.Ni wapi Makampuni haya yamekwisha invest hata kimajengo hapa nchini [I stand to be corrected]Asante Zungu kwa maono hayo,kumbe wewe kichwa.ulikuwa wapi siku zote.Jamani naomba kumjua Zungu kwani sikuzote nilikua naona kama ni watu walewale wa kulala bungeni.
Hoja zisizo na maana,
Nani alikwambia makampuni ya simu huwa yanawekeza kwenye majengo?
Labda kama alikuwa na madai mengine ya kodi na gharama sawa.
hawa wabunge wangu wa ccm bana, mwisho mh supika naunga hoja uselesssssssss.............
MJIMPYA ni kweli tupo green tech (digital world)
Kwa mara ya kwanza toka namsikia Mheshimiwa Zungu leo kaongea kama Mzalendo,UNYAMBILISI makampuni ya simu yanayowatendea watanzania.
Anasema Taifa limekuwa SHAMBA LA BIBI,kwenye REVENUE WATCH.
Tanzania inapoteza TRIONI MOJA NA BILLIONI MIA TANO kutokana na Kodi inayopotea kupitia makampuni haya kukwepa kodi.
Ni wapi Makampuni haya yamekwisha invest hata kimajengo hapa nchini [I stand to be corrected]
Asante Zungu kwa maono hayo,kumbe wewe kichwa.ulikuwa wapi siku zote.Jamani naomba kumjua Zungu kwani sikuzote nilikua naona kama ni watu walewale wa kulala bungeni.
Kusema tu 'inapotea' hakutaisaidia serikali. Je amesema inapotelea wapi au inapoteaje? Ni kwa vipi makampuni haya yanakwepa kodi?...Tanzania inapoteza TRIONI MOJA NA BILLIONI MIA TANO kutokana na Kodi inayopotea kupitia makampuni haya kukwepa kodi.....
Very shallow comment ametoa data? Au mleta mada ndo kasinzia hada analeta kitu skeleton tupu
sasa hivi ni zain sio? tungoje jina jipya hapo 2014!!! mbaffffff zetu watanzania