Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu katika Kata ya Ilala, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 12, 2025 wamefanya dua maalum kuiombea Tanzania amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.
Akizungumza katika dua hiyo, Mbunge wa Ilala aliyemaliza muda wake ambaye pia ni anagombea tea nafasi hiyo katika jimbo hilo, Mussa Zungu amewataka wananchi kuepuka chokochoko za kisiasa na kudumisha amani wakati wa kampeni.