Kule SA wenzetu misingi ya democrasia iko vizuri sana!
Hadi raisi akizingua akiharibu wanamuondoa!
Bila vurugu wala machafuko!
Nchi nyingine za Africa huachwa hadi amalize muda wake!
Sijui tatizo ni katiba au muumdo ?
Sent using
Jamii Forums mobile app