Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini hivi karibuni alijikuta akirushiwa lawama kwa kusema kuwa mbwa ni ustaarabu wa wazungu. Maneno haya yalizusha hasira kiasi cha kuhitaji maelezo zaidi baada ya kugundua kuwa kuna watu wanapenda mbwa kuliko binadamu hasa Waafrika. Kwa habari zaidi GONGA hapa.