Zuma akikamua



Hapa Jk kama alikua anaogopa maana anamjua jinsi jamaa alivyo mbaya kwenye kukamua

 
huyu anaonekana muziki upo kwenye damu.
 
Viongozi wengine huwa wanaigiza kucheza muziki mbele za halaiki ya watu ili kuwini mioyo yao lakini Zuma anafanya kiuhalisia zaidi.
 
huyu muhuni ana midadi balaa.zuma bhana.kamua babaa mademu wakuzimikie
 
JZ noma yupo vizuri kila idara anzia mapenzia,ngoma,utamaduni teh teh haaa halafu hajifichifichi yuko hadharani kwa mambo niliyoyataja hapo.
 
kamua baba kamua! nasikia uwa anakamaua hata mambo yetu yaleeee! jamaa namkubali, sio mnafiki like other African leaders, mfano...
 
ninachompendaa zuma ndo hapa, muziki upo kwenye damu yake
 
Duh....umbo kichwa chake linanikumbusha mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…