Zulia linauzwa

Zulia linauzwa

Affet

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
1,182
Reaction score
1,677
Habari ya mchana wadau nina zulia futi 10 kwa 10 naliuza tsh 200,000 mazungumzo yapo lipo katika hali nzuri tu nimehamia nyumba yenye tiles naona bora nilisukume tu nishavurugwa location Dar es Salaam mawasiliano 0788150477 na 0653794662 karibuni sana!
IMG-20191013-WA0000~2.jpg
IMG-20191013-WA0003.jpg
 
Hizo ni mita 3 X 3,
We ulinunua bei gani Kwani?
 
Nilinunua 330,000 mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom