Mkuu, nachojua ni kwamba baada ya kuongeza idhaa a.k.a channels, pia wameongeza aina ya vifurushi.
wakati bili yangu ya 40,000 imekuja, niliipotezea kwa kama mwezi hivi, kuja kutaka kulipa nikakuta badala ya 20,000 na 40,000, zikawepo 16,000, 24,000, na 48,000
kwahiyo hapo inategemea na uhitaji wako ni idhaa zipi.