Mkuu, vipi Zuku wana action movies za maana? Nasikia wana 'zuku action' na 'zuku max'... zipoje, movies zao ni action kweli? ni latest?
Nimechukua startimes juzi, ila hawajanifurahisha kwenye Action Movies. Wana action za ajabu ajabu tu... Chinese, za kihindi, na mifilamu ya kinaigeria.