Kama 20 gb sawa, kwa mimi nilikuwa natumia kule masaki wana system yao ya kuonganisha nyumba mpaka nyumba kupitia waya, kitaalam sjui wanaitaje, na ukijiunga bundle zao huwa zina channel za TV, so ni ww tu na kujidai, na speed yao iko poa sana kwa kule sijaona tatizo.