Zuena wangu uko wapi?

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Ni mwaka wa saba sasa sijakuona,
Nayakumbuka maneno yako uliyonieleza uliponiaga kipindi kile nakusindikiza kupanda basi kurejea nchini Tz.

Mpaka leo sauti yako haijanitoka uliponiaga na kuniambia mpenzi wangu:

Iwe mchana au usiku
Iwe mvua au jua
Iwe masika au kiangazi
Uwe mbali au karibu...
Hutokaa unisahau ......lakini mbona miaka imeenda na sijui uliko?

Ulipatwa na nini? au

Nilikuuzi kitu gani?

Popote ulipo tafadhri sikia kilio changu unitafute.

Nakumbuka uzuri wako na heshima binti wa watu.

Japo natambua ulikua smart ila chuo walikudisco kwa sababu
Ulitumia muda mwingi kunicare

Ni mwaka wa 4 sasa toka nihitimu masomo yangu na nimelejea nchini, nakutafuta bila mafanikio.

Ukisoma ujumbe wangu usiache kunitafuta kwa email yangu ile.

Ni mimi pacha wako wa hali zote na siku zote
 
Mwaka wa saba hujamuona ,, miaka 4 sasa toka uhitimu na umerejea nchin, unamtafuta bila mafanikio.... Sasa kama minne ulikua masomon ,, Siinamaana 3 ulikua Tz na mlikua wote ?

Duuuhhhh hata km ningekua zuwena bado nisingekuelewa.
 
Mimi ni kilaza nini! mbona sijaelewa hayo mahesabu ya miaka
 
Baba yuko bize anatafuta hela maana kauli mbiu yetu huku ni kazi tu.mapenzi peleka zimbabwe
 
Mwaka wa saba hujamuona ,, miaka 4 sasa toka uhitimu na umerejea nchin, unamtafuta bila mafanikio.... Sasa kama minne ulikua masomon ,, Siinamaana 3 ulikua Tz na mlikua wote ?

Duuuhhhh hata km ningekua zuwena bado nisingekuelewa.
Sikuwahi kurudi tz mpaka nilipohitimu mkuu
 
Zuena Zuena(ZILIPENDWA) nitampata wapi alivyokuwa umeumbika.....naimba tu
 
Niko hapa laazizi, hata mimi nilikuwa nakusaka sana. Hebu nitumie kamilioni basi ili tutafutane vyema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…