Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,582
- 272,325
Gazeti la Raia Mwema limemtambulisha kama Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ilemela , Wanaomfahamu watupe habari zake .
kanga usiseme kitu usichokijua. Ni mtu mwaminifu, mchapakazi. Ameanza kama Mwalimu akjiendeleza mpaka alipo. Hafungamani na upande wowote ndio maana hata kule Biharamuro alitangaza matokeo kihalali kabisa. So he's strong leader.NI Msanii sana na mwepesi kutumika kwa ajili ya chama anatabia ya kujikomba sana kwa wakubwa ana uwezo mdogo sana wa reasoning.
kanga usiseme kitu usichokijua. Ni mtu mwaminifu, mchapakazi. Ameanza kama Mwalimu akjiendeleza mpaka alipo. Hafungamani na upande wowote ndio maana hata kule Biharamuro alitangaza matokeo kihalali kabisa. So he's strong leader.