Zte modems software yenye call options na mms hii hapa

Inauzwa shiling ngapi kwa jumla na rejareja?

Mh..... mkuu mbona hiyo ni dashboard (software) tu ya kuiwezesha modem ya zte kufanya kazi alizoainisha mkuu hapo juu ambazo huwezi fanya na dashboard iliyokuja na modem husika so kama una modem ya zte download link za hapo juu utumie.
 
msaada mkuu nikitaka kupiga simu ujumbe wa 'no device.can not call' ndo unaotokea na nikiipiga namba ya kwenye modem naambiwa inatumika ....
 
Hata kwangu pia inakataa pupiga simu na nikijaribu kupiga namba ambayo iko kwenye modem naambiwa number busy.
Natumia modem ya HSUPA USB stick, model yake ni MF 190. Msaada please...
 
Hata kwangu pia inakataa pupiga simu na nikijaribu kupiga namba ambayo iko kwenye modem naambiwa number busy.
Natumia modem ya HSUPA USB stick, model yake ni MF 190. Msaada please...

Duh pole mkuu mimi kwangu inakubali bila ya tatizo ni haitakii kuangalia salio wala kununua tigopesa au mpesa
 
Hii kitu haisaidii bhana....nimejaribu ila inaleta majotro
 
msaada wa software ya vodafone k3772-z yenye uwezo wa kupga na kupokea cm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…