CHIEF MVUNGI
Member
- Apr 6, 2012
- 99
- 15
Hii ndo serikali ya Zanzibar kwa mwanachama wa mfuko wa hifadhi ya jamii Huku visiwani kuna utaratibu ambao mi nauita wa dhuluma kwa binadamu na kwa mvuja jasho la hakililah ati ili upate fedha zako hadi ufikie umri wa miaka hamsini au ufe nduguzo wadai na watasumbuliwa kweli kweli kana kwamba pesa hizo mlikua mkiweka shirika na mabwana wale.
Hii iko tofauti na NSSF kwa bara ambapo ukaacha kazi sehemu ya awali unapatiwa haki zako na unatazma usawa mwingie na juzi nimezungumza na afisaa mmoja wa ZSSF akadai wanafanya maboresho iwe miaka sitini sasa wazanzibar na watanzani kiujumla ebu tusaidiane kwenye mchakato wakatiba mpya kuyaanisha mambo kama haya tunaumia wafanyakazi Zanzibar kisha wabunge wetu wakifika huko hukaa kimya kanakwamba hawayafahamu haya,EBU CHADEMA NJOONI ZANZIBAR