Kwa usawa huu wa kuisoma namba, tutarajie mitandao mingi kifo cha mendeAjira hamna
[emoji3] [emoji3] kote ngoma nzito. Sijui tutafanya nini ili kuinua kipato chetu. Tuliohitimu mwaka 2015 na kuendelea hali ni mbaya na huku deni linazidi kuongezeka huko boardHata Halotel nao hawaajiri?