ZoomTanzania kwikwi

ZoomTanzania kwikwi

masare

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
2,173
Reaction score
2,032
Mtandao maarufu kwa matangazo ya tenda na ajira zoomtanzania sikuhizi chali...

Zaidi ya wikisasa haupo updated

Kulikoni zoomtanzania
 
Hata Halotel nao hawaajiri?
kote ngoma nzito. Sijui tutafanya nini ili kuinua kipato chetu. Tuliohitimu mwaka 2015 na kuendelea hali ni mbaya na huku deni linazidi kuongezeka huko board
 
Kazi yenu sio kulalamika bali kusaidia kuondoa waliopanga ikulu kwa miaka 50 wakifanya sanaa na kujaza matumbo yao huku watz wakifa kwa njaa
 
Back
Top Bottom