Mara kwa mara huwa tunafanya test ya system yetu kuhakikisha kuwa inafanya kazi vizuri. Watu wengi wanashindwa katika hatua ya kuingiza zile alama kwa sababu zifuatazo:
- Kwanza kabisa USIACHE space kati ya zile herufi. Zi-type zote bila kuacha space, kama neno moja.
- Pili, kama herufi zipo kwa herufi kubwa, andika kwa herufi kubwa, kama zipo kwa herufi ndogo, andika kwa herufi ndogo.
- Pia, una uwezo wa ku-REFRESH zile alama na kujaribu tena.
Watu waliofuata ushauri hapo juu, walifanikiwa kirahisi. Jaribu halafu unitaarifu kama utashindwa