Zoom Tanzania-Login and Web erros

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
9,865
8,886
Wakuu hivi ni mie tu au tupo wengi

Maana nimekuwa niki login kwenye Zoom inakataa.Na hii imetokea baada ya ku update website yao.
Na hata kuna mfumo fulani wa link yao ukifungua inakuja web not found,na erro kadhaa

Nilipiga sim nikaambiwa nitapigiwa,olaa,kucheck tena nitaakimbiwa nitataarifiwa olaaa

Wenyekujua wanijuze,au ni details zangu peke yangu ndio zenye nuksi
 
Back
Top Bottom