Zomea zomea ni tabia ya wabunge wa CCM bungeni

Zomea zomea ni tabia ya wabunge wa CCM bungeni

yanga bwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
300
Reaction score
47
Ama kweli sasa yametimia .Tabia ya kuzomea ni tabia iliyoanzishwa Na WABUNGE WA CCM.Wabunge hao wamekuwa wanawazomea kwa nguvu zote wabunge Wa Upinzani hivyo Tabia hii imeanzishwa Na CCM.Kwa sasa kutokana Na kuchoshwa Na Ufisadi Wa viongozi Wa CCM Na Serikali yake Wananchi bila kujali itikadi zao WAMEKICHUKIA chama cha CCM Na waonapo MTU/ WATU wamevaa nguo za ranging ya KIJANI wanakumbuka mateso Na umasikini waliopewa Na CCM.Kwa hiyo Zomeazomea sio ya chamabni ya WATANZANIA WALIOCHOSHWA NA DHURUMA ZA CCM.
 
Wasichukie tuu kwamba wanazomewa, wasikilize yanayotamkwa. Wanaweza kuwa wanashangiliwa. Na kama wanaridhika kuwa wanazomewa waangalie sababu. Wajirudi wawatake radhi. Sio kwenda polisi. Maana wanaweza kuzuia sauti za kuzomea lakini hawatazuia mioyo ya kuzomea ambayo nahakika ni mibaya zaidi.
 
Inabidi Wawe Wapole Wasikilizie Machungu Waliyokuwa Wanawafanyia Wabunge wa Upinzani.Do!!! Ila Wana Wakati

Mugumu Huku Mtaani Utadhani Bundi wa Mchana. Hii Ya Kwenda Kuwa Chama Cha Upinzani tena Dhaifu
 
Waanze Kushitakiwa wao Na video zao zipo walimzomea Mbowe tena Wenje na Lema Tindu Mnyika Machalia Na zitto
 
Mimi sipendi wazomewe kavukavu,nafurahi wakati wanazomewa kuwe na bendi au kamuziki wanapigiwa.
 
Wakati serikali ya ccm ikitawala kibabe, ikikumbatia mafisadi huku maisha ya watanzania yakizidi kuwa magumu, haikujua kuwa dhambi ya dhuluma ina meno na sasa dhambi hii inawatafuna wenyewe.
 
Nasema wakiendelea kuvaa sare za kutukumbusha machungu ya kuibiwa wazomewe tu. Nasema wote wazomewe hata na baba yao.
 
Kuzomea hakutaisha labda chagonja atafute kila raia na polisi wake, je kuzomea bila kutukana ni sheria ipi inatia mtu matatani, mfano umati wa mafuriko ya lowasa ukiamua kuzomea utamfunga yupi, mimi nikikelwa sitaacha kuzomea labda watuwekee chumba na sero maalum na uchambuzi siku unazofungwa kwa zomea moja. Kabla sijasahau ngoja nizomeee kidogo. Escroooo ahoooo, epaaa, mimeli mipovu hiyooo
 
Wasichukie tuu kwamba wanazomewa, wasikilize yanayotamkwa. Wanaweza kuwa wanashangiliwa. Na kama wanaridhika kuwa wanazomewa waangalie sababu. Wajirudi wawatake radhi. Sio kwenda polisi. Maana wanaweza kuzuia sauti za kuzomea lakini hawatazuia mioyo ya kuzomea ambayo nahakika ni mibaya zaidi.

Muda wa kujirudi hawana kwa sasa hawatapata kilichobaki ni kukubali hali mbaya wamechokwa na waende zao tu.
 
Wazomewe tu maana hamna namna nyingn wezi wakubwa hao wanafikili watanzania wa Leo ni wale wa nyerr?
 
Back
Top Bottom