Figisufigisu za kutaka kuchelewesha Ajira zilianza pale serikali ilipotangaza kusitisha ajia kwa sababu ya kuhakiki wafanyakazi ili kubaini wale ambao ni hewa.
zoezi lililotarajiwa kuchukuwa miezi miwili hatimaye limekuwa endelevu
siku za hivi karibu limetolewa tangazo linalowataka walimu wahitimu Wa masomo ya sayansi 2015 kutuma vyeti vyao ili vihakikiwe na hatimaye kupewa Ajira.
cha kushngaza kiongozi mmoja Wa wizara ya elimu aliibuka majuzi na kubainisha kuwa vyeti hivyo vinaendelea kuhakikiwa na walimu wataajiriwa ndani ya mezi mitatu.
je kwa hali hiyo, huu siyo mwendelezo Wa figisu za kutaka kuendelea kuchelewesha Ajira kwa kisngizio cha uhakiki?