Zlatan The Assassin

Joe Navarro

JF-Expert Member
Aug 22, 2022
1,475
3,067
Nilipokuwa Juventus katika moja ya mechi dhidi ya Intermilan.
Materazzi alinichezea rafu mbaya kwa kusudi na kuniumiza.

FB_IMG_16942796862017474.jpg

Nilitamani kurudi na kulipiza ilishindikana.
FB_IMG_16942796931250347.jpg

Niliporudi Ac Milaln Kati ya moja ya Derby kikosi chao chote kilikuwa na Mkakati ovu kwangu.
Nikalimwa rafu kwenye kisanduku na mtu yule yule.

FB_IMG_16942796977748835.jpg


Materanga The Matrix akajisahau na ndio alipata nilichosubiri kumpa kwa miaka 4.
FB_IMG_16942797026983613.jpg

Dejan Stankovic aliponiuliza iweje unamtendea hivi. ? nlimjibu "Nilisubiri moment hii kwa miaka mingi "

FB_IMG_16942797757934620.jpg

Nilimpa Taekwondo Move iliyompeleka Hospitali moja kwa moja.

Zlatan Magic Ibra
"I don't like Humans and Lions are not Humans"

Usijisahaulishe ubaya unao mfanyia mtu hata Kama kaupotezea.
 
Wachezaji wababe ''Aggressive'' jamii ya Ibra kwenye soka hua hawakosekani,
Nawakumbuka wababe hawa,

Gennaro Gattusso,
Jaap Stam,
Pepe,
Diego Costa,
Scholes,
Balloteli,
Nigel De jong,
Diego Costa,
Sergio Ramos,
Eric Cantona,
Roy Keane...
 
Wachezaji wababe ''Aggressive'' jamii ya Ibra kwenye soka hua hawakosekani,
Nawakumbuka wababe hawa,

Gennaro Gattusso,
Jaap Stam,
Pepe,
Diego Costa,
Scholes,
Balloteli,
Nigel De jong,
Diego Costa,
Sergio Ramos,
Eric Cantona,
Roy Keane...
Pia kuna mmoja anaitwa vin jones kama sikosei . Ambaye kwa sasa ni muigizaji huko marekani. Unaweza kumuona kwenye filamu ya the condemned akiwa na stone cold au ile ya escape plan akiwa na kina arnold na rambo.Au kwenye expandables
 
Back
Top Bottom