feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,548
- 17,247
Halafu nakumbuka kuna watu walisema Guadiola Epl angefeli maana alifundisha ligi isiyokuwa na ushindani ona sasa Liverpool alikua anaongoza point 9 now amezidiwa yeye point 1Hahahaaa, eti kuvizia. Hivi kocha mwenye success kama Zidane ni wakuvizia timu? Baada ya kuondoka Madrid alisema anapumzika.
Coments za wengi humu ni maumivu. Wengine mlitegemea aende kwenye timu zenu huko ila ndio hivyo.
Gadiola anawanyoosha huku na pressure zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
