Ilipaswa aulize dimbwi au bwawa? 😂😂Hakuna ziwa dogo hivo,sifa moja wapo ya ziwa lazima liwe kubwa
Just call it lake Bujibuji. Halina water inlet yoyote, only Mbepo Mwikemo fills it upHili nasikia liko mbeya kijiji na wilaya sijui anaejua atuambie ila wanasema sio ziwa ngosiView attachment 1253090
Ziwa la aina hiyo au umelinganisha na ziwa Victoria na lile tanganyika?Ziwa Ngosi;
Ziwa hili ni la pili kwa ukubwa barani Afrika baada ya ziwa lingine la kreta lililopo Ethiopia linaakisi muonekano wa bara la Afrika katika upande wa kusini, magharibi, kaskazini na mashariki pamoja na visiwa vyake vya Unguja na Pemba.
Ziwa Ngosi linapatikana kwenye milima ya Uporoto, Mkoa wa Mbeya nyanda za juu kusini mwa Tanzania , ziwa hili linatajwa kutokana na mlipuko wa volkano hivyo ni tofauti na maziwa mengine kama ziwa victoria au ziwa nyasa.
Upekee au utofauti wa ziwa hili ni kwamba ziwa hili liko juu ya milima na katikati ya misitu na lina urefu wa km2.5, upana wake ni km 1.5 , kina chake ni mita 74 na lina ukubwa wa hecta 9332.
ziwa aliwi determined na size yake, bali nature of its waterHakuna ziwa dogo hivo,sifa moja wapo ya ziwa lazima liwe kubwa
Nina wasiwasi na vyeti vyako.Hakuna ziwa dogo hivo,sifa moja wapo ya ziwa lazima liwe kubwa
Kunà moja huenyeshwa na TBC Safari nadhani ndio hilo Ngosi ukitamka neno Tukuyu ukungu unatoka mzito na kufunika ziwa linakuwa halionekani kabisa wenyewe wanaamini ati lilifukuzwa Tukuyu ndio likaenda kukaa pale
Lipo Wilaya ya Rungwe na kuna majogoo ndani ya ziwa yanawika!Ziwa Ngosi;