TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,743
Hapa ndipo unapoona tofauti kati ya siasa za Mwanasiasa na siasa za Wale wanaodhani kazi yao ni kupinga kila kitu. Nakupongeza Zitto kwa hili.
Chuki tu imekujaa, eleza kwa hoja kipi zitto ameandika ambacho sio sahihi.Rangi yake inajulikana huyo
Ni vuguvugu
So anatakiwa kupinga kila jambo? Na alichojibu kakosea? Nadhani kikatiba Salma ana haki ya kuteuliwa kuwa mbunge na ndicho alichoeleza Zitto.Rangi yake inajulikana huyo
Ni vuguvugu
Kwa sababu kaandika usichotaka kusikia.......ila akiandika unayotapenda unamuita kamanda sijui mkombozi.Rangi yake inajulikana huyo
Ni vuguvugu
Kabisa... Lakini si kila maoni yana tijaNae ana haki ya kutoa maoni pia
Akiwa karibu na mbowe anakuwa na rangi gani?Rangi yake inajulikana huyo
Ni vuguvugu
Kwa vile amesema ukweli kuhusu Uteuzi wa mama? Mmebaki Makopo kabisa na Zitto anawaweza kwelikweli akiwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa baas hapo mnaona mmeshamkamata kumbe mwenyewe alishawaona watu wa kilenda kusifiwa nyie tu.Rangi yake inajulikana huyo
Ni vuguvugu
Hahahaa, utasubiri jibu mpaka uchokeAkiwa karibu na mbowe anakuwa na rangi gani?
Vijana wa ufipa usipokuwa nao makini watakupasua kichwa bure.kuna watu nilikua nawaeleza kuhusu hili lakini waliniona ni ile ile? Mama Salma ni mtanzania anayo haki kama ilivyosemwa
Kweli anajitahidiZito ni mpinzani pekee aliyebaki anayepingana kwa hoja na sio matusi ndio maana serikali inakosa pa kumuanzia
Kama anaogopa kujibu amtag jirani yake atupe jibuHahahaa, utasubiri jibu mpaka uchoke
Tehe tehe tehe, ndo wale wale mkuu. Unajua hawa vijana wa ufipa ni wepesi sana, mfano Zitto angeandika vinginevyo kupinga uteuzi ungeona walivuojipanga humu kams nyumbu wanaokwenda kunywa majiKama anaogopa kujibu amtag jirani yake atupe jibu