Yericko,
Zitto anaweza kuwa mbaya kwa sasa, lakini anaweza kuwa asset kubwa kwa chama pia baada ya haya. Msilenge katika kurudi nyuma, kuna nafasi kubwa sana ya kurekebisha haya na mkasonga mbele. Kama ndani ya mioyo yenu hamna nafasi ya kusameheana na kurekebishana basi hamfai kanisani, hamfai misikitini na hamfai Tanzania pia.