Kaka usiwe na wasiwasi na Zito,, Yuko kwenye Kampeni Kubwa ya Chama.
Mimi nadhani uchaguzi ujao Zitto ni mwenyekiti, and naona kabisa kama Slaa akishinda basi Zitto apewe uwaziri Mkuu.. Kwani anauwezo na elimu ya kutosha kabisa..

Siku hyiz simwamini amin sana huyu jamaa..mara tuambiwe anaurafika na kina Rostam..oh..Jussa nae..tena nduguye Rostam yule..undugu ulio na urafiki ndani yake (Rostam na Jussa)..poor Zitto taarifa kuwa amekuwa chanzo cha kuharibu uteuzi na uchaguzi wa viti maalumu ndan ya CHADEMA ndo zimeshtua zaidi..tuendelee kumwombea labda atarejea kama alivyokuwa nyakati zile..the Zitto I knew!hela hizi hakyanani zilimfanya Yuda amuuze Yesu