Zitto: Uongo na Ufisadi ni Kansa

Zitto: Uongo na Ufisadi ni Kansa

Zitto ni msumari mchungu kwa baadhi ya wanacdm ambao ni mambulura na hawana independent thnking ability. Wanachojua ni kumchafua brother bila kujua huwezi kumchafua zitto bila kuichafua cdm. Wanaongozwa na yericko na ben ambao ni'no body' katka cdm
 
Sasa naanza kuamini kuwa Mh. Zitto kwenye masuala ya ujumla na ya kizalendo kwa taifa lake usema yaliyo ya kweli pasipo kuegemea itikadi zozote.

Na sitashangaa kuona wachangiaji wakijikita katika ukweli kuliko kuleta porojo zenye malengo ya kuchafuana kiitikadi na kimtazamo.

Hongera Mh. Zitto kwa analysis yako ambayo imekuja wakati muafaka wa kila mmoja wetu kujitathmini kama nin msafi au mchafu ili angalau pawepo na mabadiliko kidogo ya kifikra juu ya wajibu na uajibikaji wetu sote.
 
kila mda nakila siku,daima nitakuwa upande wako zito.

Hakuna mbunge yoyote wakulinga nawe kakujali maslahi ya wananchi

Walopokaji tuliwasikia,wakilopoka bungeni.
Wewe hulopoki.unasema iliyokweli,hakika u kiongozi wakuigwa
 
Hi wana jf! Poleni na shughuli za kila siku, nimejaribu kuwaza na kupima nikaja kugundua kuwa nchi yetu imekuwa ikikabiliwa na vita vya maneno na majungu na ni hatari kubwa inayotukabili, nasema hvyo kwa utafiti wangu binafsi juu ya swala la kisiasa nchini hasa hasa miji mikubwa iliyopo chini ya Chadema na CCM, kumekuwa na mvutano mkubwa sana wa maneno ,majungu na mvutano wa kukomoana na hisia za kusema bwana fulani anasaidia kwa ajili ya chama fulani,mathara ya haya yote ni mipango mingi kushndkana kufanyika na kupelekea kuwa kwenye makaratasi. Mfano unamkuta kiongozi ama mfanyakazi wa serikali amekuwa commited kujishughulisha ktk nafasi yake lakini majungu na maneno yataibuliwa na either of the political party juu yake, hili litampelekea huyu mtu kukata tamaa na hata kurudisha juma maendeleo(hii ni vita zaidi ya hata ya silaha kwani huwezi kukimbia wala kupata msaada nchi za nje). Pia ndani ya vyema hvi vinatokea na mathara yake ni makubwa sana ktk jamii. Naomba tufanye reference ktk mji wa Mwanza na Arusha kwani hvi vita vilishaanza! My take, katika utendaji kazi lazima tusahau itikadi za kisiasa,majungu,maneno kwani yatarudisha sana maendeleo nyuma! DISCLAIMER, haya ni mawazo binafsi na muwe huru kuboresha na kuweka vizuri na itumeke hapa hapa Jf! Karibuni.
 
Tatizo ni ccm kuingilia michakato na ubakaji wa demokrasia unaofanywa na ccm mfano hapa mwanza.
 
ila kusema ukweli kabisa kwa siasa zetu....ZITO MNAFKI SANA..Ipo siku ataumbuka tu
 
Makala ya Mhs Zito ni nzuri, lakini Bwn huyu Akae akijua kuwa bila kuondoa hii Serikali ya CCM madarakani hatuwezi kushinda hii vita ya ufisadi!!!
Sera ya CCM ni uongo, ufisadi, Rushwa na fitina ili waendelee kukaa madarakani!! Wenyewe wanaita Propoganda!!
Kwa hiyo namuomba kwa heshima Mhs ZZK. Aunganishe nguvu za dhati na wenzeke kuimarisha juhudi za pamoja kuondoa huu huozo kwenye nchi yetu!!!
linapofika swala la uzalendo,ujasiri,ukweli,uwezo wa kuongoza,kujiamini,kujitambua na kila sifa inayomstahili mwanasiasa!!!! ZZK hana mwenzake ndani ya CDM wala ndani ya CCM.
pole unaedhani eti uchagani kuna afadhali
 
linapofika swala la uzalendo,ujasiri,ukweli,uwezo wa kuongoza,kujiamini,kujitambua na kila sifa inayomstahili mwanasiasa!!!! ZZK hana mwenzake ndani ya CDM wala ndani ya CCM.
pole unaedhani eti uchagani kuna afadhali

Mtu anapoishiwa hoja au kufilisika kisiasa huwa anakimbilia kama si kwenye Udini basi Ukabila. Umeshaeleweka mufilisi wa kisiasa.
 
Zitto hawezi kupambanana ccm wala serikali yake hata kidogo!! Huku ni kutapatapa tu na makala uchwara za kudanganya wajinga wasioelewa. Jamaa mwenyewe hapa anaona katoa bonge la point!! Hizo sera zako peleka kigoma kaskazini labda watapata maendeleo!!!

Hivi ccm kwa nini wasimpe tu cheo huko serikalini? Jamaa ni mgumu kuelewa very trivial matters, ambazo haziitaji intellectual capability that much, inahitaji busara na hekima tu!! Yeye kila siku ni lectures lectures lectures. Siasa zake zenyewe ni za kizamani kichizi. Sijue ndo amegundua hivi vitu leo? Dah, na mwonea huruma.

Kuna msemo wa kizungu unasema 'success comes when you are in the right place, at the right time and with the right people´, sina uhakika kama Zitto analijua hilo au anang'ang'ania tu kufanya vitu kama akili zake zinavyomtuma, 'hovyohovyo' tu. Nadhani anahitaji kufanyiwa brain flashing au akili yake inabidi iwe formatted.
 
Hivi nyie wabongo mtapata lini akili na kuacha majungu ya vyama! Ndio maana mwalimu aliwarudisha vijijini mkalime ! cdm mkubali mkatae nyir ni changa la macho tu! Na sis watanzania tunataka kiongozi anaewajibika sio kupiga porojo tu. Na huyu si mwingine ni LOWASA tu. Kiongoz anaetekeleza na kusimamia alichosema! cdm endeleeni kujaza maji kwenye gunia!
 
Ukiona mwenzio ananyolewa cdm, wewe uliebaki tia maji coz bonge la upara linakuja! Amka usepe usije kumbuka shuka wakati kumekucha! Ukiendelea kung'ang'ania cdm, ni sawa na kujifunika ngumi. Itakula kwako!
 
2f3786db46L.jpg
 
Kuna watu ukiwaangalia sura kwa umakini utawajua tu hulka na tabia Yao,wamakonde wanaita body language!!!

Kuna kipindi huwa linakua Saafi na speed Nzuri,hili ni gari la kubeba mavi,hata lishabikiwe vipi gari la mavi litabaki kuwa gari la mavi na halisafishiki!!!
 
Back
Top Bottom