kazi kwenu kijana wa kigoma anakula bata nyie mnakesha angani kumshambulia. Suluhu siyo kumfukuza ila ni kujitathimi nyie mnaojiita wasafi ndani ya chama na myaone mapungufu yenu
Ben unawakimbiza watoto wa Lumumba! Wanapata kiwewe wakiona picha hizo kwani habari za Lumumba zinasema kutokana na watoto wa Lumumba kushindwa kupingana au kuzibishia picha hizo kutokana na kuwa na tarehe ya tukio, bei yao imeshuka toka buku 7 hadi buku 2 na nusu. Ndo maana watoto wa Lumumba wakiziona picha hizi wengi huishia kuingia kama wageni.
Deni la Taifa la Tanzania limefikia au litafikia 25Trillioni mwaka 2014...
Hebu tuachane na kina Zitto na CHADEMA tuanze ongelea kuhusu hilo deni lilipatikana vipi maaan siku ya mwisho sisi ndo tutakuwa wadaiwa
Hatuwezi kujua na wala hatuwezi kubadirisha kitu, kwa sasa tunakazi moja tu, kuiunga mkono operation M4C-SIJUI NINI NINI DAIMA na kumuomba Mwenyezi Mungu iwafikie wananchi kwa wingi na ikapeleke mabadiriko ya kifikra kwa watanzania ili inshallah kama tunavyotegemea mwaka 2015 tuwaondoe hawa matapeli madarakani.