Bi kilembwe upo? kama cha kaskazini si achana nacho,tatizo liko wapi? nisalimie Giningi waambie nitarudi Giningi siku moja nikiwa full.Chadema mbona wanataka kuniaminisha yasemwayo kuwa chama chao ni cha kaskazini, Lema na Mwigamba nao hatima yao ni nini?
Waslaam, M. Mtolewa