Zitto kulala bungeni kukwepa kukamatwa ni uoga au?

K M S

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
524
424
Nimeskia magazetini leo (Tanzania Daima) kua zito kalala bungeni kukwepa kukamatwa na police huu ni uoga au manake

FullSizeRender_16.jpg
 
Nimeskia magazetini leo (Tanzania Daima) kua zito kalala bungeni kukwepa kukamatwa na police huu ni uoga au manake
Hahahahaha, si alijifanya mwanaume, aache unafiki wa kuwatumikia wazungu, maana zzk na chadema wote lengo lao ni moja
 
Nimeskia magazetini leo (Tanzania Daima) kua zito kalala bungeni kukwepa kukamatwa na police huu ni uoga au manake
Nawewe ukamaamini kweli kalala Bungeni? Waliweka picha yake akiwa kitandani hapo bungeni? au waliweka picha kavaa pajama au bukta yupo anaswaka nje ya ukumbi? Kwani magari yote yalokuwa yakiondoka hapo bungeni yalikuwa yanakaguliwa?
 
Ndo nilitaka uniamnishe kua hakulal bungeni
 
Ndo nilitaka uniamnishe kua hakulal bungeni
Kwa taarifa yako, usiamini kila kiandikwacho kwenye magazeti yetu. Kukuta gari la zito limepark kwenye parking ya bunge alfajiri zio lazima kuwa amelala bungeni, ndo maana nikakwambia kuwa je magari yote yalokuwa yakitoka Bungeni yalikuwa yanachunguzwa?
Samahanini kwa lugha kunamaneno nashindwagwa kuyandika
 
Kufunga wanasiasa kamwe si jawabu la kupata kuungwa mkono na wananchi.
Unaua kabisa nguvu zao, we ona sasa jina la lema kama lipo kitaa, hahahaha. Tena kwa siasa za kibongo ambazo mwanasiasa wa upinzani ananunulika na wanajulikana bei zao, ni hivyo hivyo hata kuwafunga, yaani ukiwafunga tu unakuwa umewapoteza, na hivyo watz tulivyowepesi wa kusahau, hivyo lisu akifungwa watu watamsahau na ndiyo imetoka, 2020 njia nyeupe kwa jimbo la lisu CCM. Yaani na mbowe natamani alikoroge adakwe ila sema yeye hana haja maana mpunga wa nyeupe unamtosha.
 
Zito mbali na kuwa mjenga hoja mzuri lakini ni muoga wa lupango ile mbaya. Na kwa uoga huu ni bora akaenda ccm maana wao ndio huwa hawapekekwi huko.
Bado mnafuata fuata mbona yeye hana kinyongo na nyinyi ndio maana jana aliomba muongozo kuhusu kukamatwa kwa Tundu lisu na huenda ikawa ndio chanzo cha kutaka kukamatwa
 
Zito mbali na kuwa mjenga hoja mzuri lakini ni muoga wa lupango ile mbaya. Na kwa uoga huu ni bora akaenda ccm maana wao ndio huwa hawapekekwi huko.
Kwa uwoga huo watamtesa sana hawa CCM
 
Back
Top Bottom