Zitto kugomea posho ya laki 3!!!

Status
Not open for further replies.
Huyo ndio Zitto, mzee wa Walkie the Talkie. Ni miongoni mwa wanasiasa wachache wenye uwezo wa kusimamia misimamo yao kwa vitendo. Kwenye hili suala la posho, Tanzania itamuheshimu sana kijana huyu.
Lile brief case lekundu alilopokea toka kwa Kimei mbele ya wapambe wa TISS angepeleka kwa mayatima badala ya kuenjoy yeye na familia yake tungemwita mzee wa walk the talk vinginevyo anajidanganya mwenyewe na wapambe wake
 
Kuna haja ZITTO awe Rais wa nchi hii.

Duh, walau umeniletea ahueni kwa sababu tangu nimemsikiliza Lukuvi asubuhi akiongelea ishu ya posho, nilipatwa na mshuko wa moyo.
 

msanii tu, zinawekwa kwenye akaunti yake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…